MPYA
Tahasusi za Kidato cha Tano 2026
Jiunge nasi Sasa
PCM
PCB
EGM
ECsM
HGLi
HKL
Sisi ni Nani
Shule ya Sekondari Idete ni shule ya uma iliyopo wilaya ya Uyui, mkoa wa Tabora. Sisi ni kituo bora kabisa cha elimu, na kitovu cha TEHAMA, tuna walimu waliojitolea kufundisha kwa bidii kila mwanafunzi.
Tunajivunia miundombinu ya kisasa na iliyo boreshwa, tuna uhusiano mzuri na jamii inayotuzunguka, na tunajitolea kwa bidii kutoa elimu inayokidhi ubora unaohitajika.
Zaidi ya wanafunzi 2000
Zaidi ya watumishi 50
Matangazo
- Matokeo ya mtihani wa Taifa kidato cha Sita mwaka 2026 (ACSEE 2026) – Angalia Matokeo
- Uandikishaji Kidato cha TanoTunaendelea kupokea wanafunzi wa kidato cha Tano hadi Julai 31, 2026
Wasiliana Nasi
Mkuu wa Shule: 0782 210 747
Makamu mkuu wa shule: 0767 625 565
Mwalimu wa taaluma: 0763 875 818
Barua pepe: info@idete.sc.tz
Tunapatikana Barabara ya Nzega-Tabora, kando ya Chuo cha VETA cha wilaya ya uyui.
Tunapatikana pia Kilomita 4 kutoka ofisi za halmashauri ya wilaya ya Uyui, kilomita 35 kutoka manispaa ya Tabora.